Utumiaji wa Gilasi za kisasa 101
|
![]() |
Kuna gilasi za mvinyo ambazo si pana sana wala si nyembamba kama gilasi za mvinyo mweupe. Hizo unaweza kutumia kwa divai ya rangi yoyote. Ukiwa dukani ulizia. Pia makampuni mengi wanaandika kwenye boksi au kasha. |
MULTIPURPOSE GLASSES Hizi gilasi zipo za rangi na aina tofauti, Lakini nitakushauri ununue ambazi hazina rangi, maana watu wengi wanapenda kutumia gilasi nyeupe kunywa divai. Hata mimi naona divai kwenye gilasi ya rangi haina utamu. |
![]() |
![]() |
ICE BUCKET Ice bucket hutumiwa kuhudumia barafu ukiwa na wageni. Si vizuri kuhudumia barafu kutumia bakuli la mboga. Ice bucket siku hizi zinapatikana, za mbao (Jua kali anaweza kukuchongea), bati, copper na kuendelea. Mimi napenda kutumia ice bucket ya kioo. Kama huoni madukani. mtafute mkubwa wa duka au super market wana weza kuzileta wakijua watu wanazihitaji. Lakini kama uko kwenye nchi za kitajiri, ice bucket zinapatikana hata kwenye dollar store. |
![]() |
|
DESSERT BOWL |
![]() |








