Maji ya Ukwaju na MaembeImetolewa na Maitha (Mawazo na Maitha) kutoka Kenya |
Kawaida natengeneza maji ya ukwaju bila kuchanganya na matunda yeyote, Halafu nikapata wazo kutoka ma mwana blogu mmoja (maitha) baada ya kutembelea blogu yangu. Nikamuomba anitumie mifano mingine, Akajitolea kunitumia mawazo machache. Napenda sana maji haya , natengeneza nyumbani kila wakati. Kama unakaa nje, kuna ukwaju naotumia kutengeneza maji haya. kusoma zaidi bonyeza hapa. Kama uko Tanzania nategemea unajua kutengeneza maji ya ukwaju. Kama unatumia maji ya ukwaju basi usitumie kipimo cha maji hapa chini. |
![]() |
Viungo |
|
|
|
|
Kunywa na : |
