Vitunguu vya kukaanga

By Miriam: Mapishi ya Kawaida

Haya ni mapishi mazuri ya kula na kitu chochote, au kama huna mboga ya majani nyumbani, na jikoni kuna vitunguu tu, basi vitunguu vya kukaanga vinaweza kuwa mboga nzuri na chakula chako, hata ugali.  

Ingredients
  • 220g vitunguu vya kawaida
  • 1 kijiko-chai Ghee
  • 1 kijiko-mezani maji

  • Unga au kidonge cha ladha ya n'gombe
  • Chumvi (Tumia chumvi kama latha ya n'gombe haita kuwa na chumvi)
  1. Kaanga vitunguu kutumia ghee kwenye moto mkali, vikikaribia kuwa tayari, ongeza maji na latha ya ngombe.
  2. Weka mezani vitunguu vikiwa bado vya moto.

Kula na :
•Unaweza kula kama mboga na chakula chochote kile.